Moja ya ajari kubwa ambazo nakutana nazo kila siku katika mizunguko yangu ni ajari ya watu kuvunjika moyo juu ya kile amabacho waliamini kwambacho waliamini kwamba wanakiendea kwa nia njema na lazima kukifanikisha. Nimekuwa nikiwatia moyo watu mbalimbali ambao wamepata hizi ajari za kuvunjika moyo kwa muda mrefu. Asilimia kubwa ya watu tunashindwa kufika kule tunakoenda kimaisha kwa sababu tumejikitia tamaa mapema au wengine tumekatishwa tamaa juu ya imani tuliyojenga kwenye kitu frani. Hii imetugarimu wengi na kufanya tukose uwelekeo kabisa wa maisha mara baada ya kushindwa kwenye hatua furani. Leo ningependa kuchukua nafasi hii kukutia moyo tena kwamba inawezekana kufikia malengo ya kile ambacho ulikuwa unafanya na kukiacha kwa changamoto ambazo ulikuwa ukipitia. Kumbuka kwamba hakuna aliyefanikiwa kwa kuweka kando mambo aliokuwa akiamini kwamba ni sahihi na kufanya kitu tofauti na kile kirichomo nafsini mwake. Kushindwa mara kadhaa kwenye kile unachofanya ...
Karibu tuzungumze hapa ndipo kituo chako bora cha maarifa ,karibu useme, niseme, waseme na sisi tunasema 2018. ni sehemu pekee ya kila mmoja kutoa maoni yake na uwelewa wake juu ya kuelimisha jamii. ukiwa unachochote cha kutaka kutushirikisha kupitia jukwaa hili la wana jamii, usisite kututumia baraua pepe kwenda kwa bahatimagweiga467@gmail.com au wasiliana nasi kwa simu namba 0757472165, 0659991953. huduma zetu ni masaa 24