Kote katika njia zako za maisha utakazopita epuka kumdharau mtu usiye mjua kwa kuwa kuna nguvu furani ambayo mungu ameweka katika kila mmoja wetu. pengine ikawa ndiye mwenye mafanikio yako kwasababu tunasema kwamba mafanikio yako yako mikononi mwa mungu , pengine mungu amemuleta huyo unaye mdharau kuwa sehemu ya kufanikisha mambo yako. pengine mtu huyo ndiye yule ambaye mungu anamtumia kama jaribu kweneye maisha yako na usipolishinda huwezi kufanikiwa hata kidogo. kuishi na watu vizuri katika jamii kutakufanya upate baraka mbele za mungu na kutimiza makusudi maalum ambayo mungu amaeweka ndani yako ili uyatimize hapa duniani
Karibu tuzungumze hapa ndipo kituo chako bora cha maarifa ,karibu useme, niseme, waseme na sisi tunasema 2018. ni sehemu pekee ya kila mmoja kutoa maoni yake na uwelewa wake juu ya kuelimisha jamii. ukiwa unachochote cha kutaka kutushirikisha kupitia jukwaa hili la wana jamii, usisite kututumia baraua pepe kwenda kwa bahatimagweiga467@gmail.com au wasiliana nasi kwa simu namba 0757472165, 0659991953. huduma zetu ni masaa 24