Kuwa na Elimu kubwa haina maana kwamba unafahamu mambo yote katika ulimwengu tunamoishi. Asilimia kubwa ya watu wamepotea kimaisha kutokana na falsafa hasi ya kwamba wapo sahihi muda wote kwa sababu tu ya Kiwango cha Elimu alichopata darasani. Kwa ukweli usiopingika ni kwamba umehitimu Elimu ya darasani ila bado upo wazi au mweupe kabisa kwenye Elimu ya mtaani yani Elimu inayotumika zaidi kwenye maisha. Elimu ya darasani itakusaidia kwa uchache sana kufanikisha mambo yako ila elimu ya mtaani itakuwezesha zaidi kutimiza ndoto zako kimaisha. Kwa mfano kuna watu wamesoma na wana elimu kubwa ila bado Elimu hiyo waliopata darasani inazidi kuwatenga mbali na jamii inayowazunguka kwa kushindwa kuchanganua mambo kwa wakati. Itikadi hii inatokana na kuaminishawa kwamba sehemu pekee itakayo kusaidia wewe kumaliza matatizo yako ni darasani. Ila ukweli usiopingika ni kwamba darasani pekee hakutoshi kumaliza matatizo yako. Ispokuwa hata njee ya darasani yani heki...
Karibu tuzungumze hapa ndipo kituo chako bora cha maarifa ,karibu useme, niseme, waseme na sisi tunasema 2018. ni sehemu pekee ya kila mmoja kutoa maoni yake na uwelewa wake juu ya kuelimisha jamii. ukiwa unachochote cha kutaka kutushirikisha kupitia jukwaa hili la wana jamii, usisite kututumia baraua pepe kwenda kwa bahatimagweiga467@gmail.com au wasiliana nasi kwa simu namba 0757472165, 0659991953. huduma zetu ni masaa 24