Watu wengi hukosea katika mahusiano kwa kutokuwa wavumilivu pale wanapoachwa au kusaritiwa. Wengi huwahi sana kuingia kwenye mahusiano ikiwezekana siku moja baada ya kuachwa na mpenzi wake. Ukweli ni kwamba huwezi kupatia katika mahusiano kama hujafanyia kazi sababu na changamoto zilizo mfanya huyo mwanaume au mwanamke akukimbie .wengi husema lengo ni kuziba magepu na kupunguza stresi lakini ukweli ni kwamba baada ya mchungu kuisha utarudia makosa yale yale ya mwanzo. Unachotakiwa kufanya baada ya kusaritiwa au kukataliwa na mpenzi wako ni........ 1. Jitathimini kwanza 2. Jifikirie kwa kina sana ili kubaini ukweli wa kusaritiwa au kukataliwa kwako. 3. Punguza jaziba na hasira zako kwani zinaweza kukufanya ukaumia zaid pale unapo ongea na aliyekusariti. 4. Punguza kumwambia kila mtu juu ya kuumizwa kwako 5. Jitahidi kusahau . Ukizingatia hayo itakuwa rahisi sana kufika mbali kimahusiano na kufanya chaguo sahihi la mwenzi wako. Ukiendelea kuingia...
Karibu tuzungumze hapa ndipo kituo chako bora cha maarifa ,karibu useme, niseme, waseme na sisi tunasema 2018. ni sehemu pekee ya kila mmoja kutoa maoni yake na uwelewa wake juu ya kuelimisha jamii. ukiwa unachochote cha kutaka kutushirikisha kupitia jukwaa hili la wana jamii, usisite kututumia baraua pepe kwenda kwa bahatimagweiga467@gmail.com au wasiliana nasi kwa simu namba 0757472165, 0659991953. huduma zetu ni masaa 24