Kuishi na wanadamu kuna hitaji akili na uwezo mpana wa kutambua tabia za kila mmoja anayekuzunguka. kwa kufanya hivyo itakurahisishia wewe kujipapmbanua na kwendana na tabia zao. siyo kwa kufuata kile wanacho kiishi( ndoto zao) bali kwa kuzingatia zile tabia zao ambazo umezijifunza kutoka kwao il wasiwe sehemu ya kukwamisha mipango yako na malengo ambayo umejiwekea. usiogope kiwango cha maneno utakayo nenewa wakati wa kuwasoma hao bali jidhatiti vya kutosha kwa kuangalia mzigo wa malengo yako uliyo nayo. kusemwa ni sehemu ndogo sana katika maisha ya mwanadamu inategemea unasemwa juu ya nini na ni kwa namna gani unaujua ukweli juu ya kile knachosemwa juu yako. lazima utambue kwamba umekuja hapa duniani kutimiza makusudi maalimu na wala siyo kwa bahati mbaya bali ni kwa mipango na maona makubwa toka kwa mwenyezi mungu aliyekupendelea uwepo hapa duniani na amekujalia uhai wa kuendelea utimiza makusudi yake hapa duniani. unaweza kuwatumia wanadamu kama sehemu ya kunufaika kwa kutum...
Karibu tuzungumze hapa ndipo kituo chako bora cha maarifa ,karibu useme, niseme, waseme na sisi tunasema 2018. ni sehemu pekee ya kila mmoja kutoa maoni yake na uwelewa wake juu ya kuelimisha jamii. ukiwa unachochote cha kutaka kutushirikisha kupitia jukwaa hili la wana jamii, usisite kututumia baraua pepe kwenda kwa bahatimagweiga467@gmail.com au wasiliana nasi kwa simu namba 0757472165, 0659991953. huduma zetu ni masaa 24