Bahati magweiga alizaliwa munamo mwaka 1993 katika hospital ya baranga wilayani nbutiama. ni miongoni mwa watoto 24 wa kuzaliwa na mzee chacha magweiga . akiwa na mama yake anayeitwa Nyakorema na baba yake chacha magweiga. alisoma shule ya msingi baranga kisha Iramba primary school. Baada ya hapo alichaguliwa kujiunga na sekondari NGOREME munamo mwaka 2010 kisah kuhamia kasoma sekondari iliopo majita. baada ya kuhitimu secondary alichaguliwa kwenda kujiunga na masomo katiaka chuo cha maji kilichopo ubungo. amehitimu cho mwaka 2017 kisha kufanya kazi kwenye tasisi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa reli ya kisasa SGR. Akiwa chuo , bahati amefanikiwa kushika nyazifa mbalimbali ikiwemo uwenyekiti wa kamati ya maadili ya serikali ya wanafunzi chuo , mjumbe wa tume ya uchaguzi ya serikali ya wanafunzi chuo, mjumbe wa umoja wa nchi za africa mashariki upande wa vyuo, mjumbe wa shirika la elimu UNESCO, nk.
Karibu tuzungumze hapa ndipo kituo chako bora cha maarifa ,karibu useme, niseme, waseme na sisi tunasema 2018. ni sehemu pekee ya kila mmoja kutoa maoni yake na uwelewa wake juu ya kuelimisha jamii. ukiwa unachochote cha kutaka kutushirikisha kupitia jukwaa hili la wana jamii, usisite kututumia baraua pepe kwenda kwa bahatimagweiga467@gmail.com au wasiliana nasi kwa simu namba 0757472165, 0659991953. huduma zetu ni masaa 24