Kujitambua katika maisha ni moja ya hatua kubwa ambayo humtofautisha mtu na mtu katika swala zima la mafanikio. Nini maana ya kujitambua? Ukizungumzia neno kujitambua kwa mtu yeyote ni kuwa mtu sahihi, mahali sahihi, kwa muda sahihi. Kuwa mtu sahihi maana yake ni kuwa mtu ambaye unajisimamia na kutekeleza kile ambacho unatakiwa kufanya wewe kama mwanadamu. Mahali sahihi inamanisha kwamba upo kwenye kiwango ambacho ulistahiri kuwepo kimaisha kwa maana ya kwamba kiuchumi, kijamii na hata kisiasa. Asilimia kubwa ya vijana waliowengi hupoteza uelekeo wao wa maisha kwa kushindwa kujitambua katika umuri nyeti ambao bado vijana hawa wanakuwepo na nguvu za kutosha za kuwawezesha kushughulika na ndoto zao katika maisha. Tunapaswa kujitambua na kutambua kwamba chochote ambacho kinaonekana sasa katika Macho yetu ni mamzi mugumu yaliofanywa na watu kama sisi. Vijana wengi tumekuwa na tabia furani ya kuiambia dunia tunachokifahamu badala ya kuonyesha Dunia unach...
Karibu tuzungumze hapa ndipo kituo chako bora cha maarifa ,karibu useme, niseme, waseme na sisi tunasema 2018. ni sehemu pekee ya kila mmoja kutoa maoni yake na uwelewa wake juu ya kuelimisha jamii. ukiwa unachochote cha kutaka kutushirikisha kupitia jukwaa hili la wana jamii, usisite kututumia baraua pepe kwenda kwa bahatimagweiga467@gmail.com au wasiliana nasi kwa simu namba 0757472165, 0659991953. huduma zetu ni masaa 24