Mkasa wa kweli wa wanandoa fulani ambao mpaka Mwisho wa simulizi hii kila mwanandoa ukiweza kupata Muda wa kusoma utajifunza kitu. Usiwe Mvivu wa kusoma mkasa huu JE NANI ALAUMIWE KATI YA JOSEPH NA MARRY? Ongozana nami mpaka mwisho wa simulizi. 1.Sehemu ya Kwanza Joseph Alimuoa marry Kati ya mabint waTatu aliowahi kuwa nao, marry Alikuwa mzuri sana hata wa sura kiasi Kwamba Joseph akavutiwa naye Bila kujua uzuri wa mke ni tabia na sio sura wala shepu,lakini Joseph Alikuwa amekufa ameoza kwa marry, Maisha ya ndoa yakaanza wakiwa hawana kitu yaani wote ndio Wanaanza from zero, walikaa Muda kidogo Bila kupata watoto baadaye Mungu akawasaidia wakapata mtoto na familia ikaongezeka, Joseph Alikuwa ni mtoto wa kwanza kwao na Alikuwa ametoka familia ya Kimaskini sana na marry pia hivyo hivyo tena kwao na marry ndio kulikuwa zaidi Baada ya miaka kazaa Mke akaanza kabadilika tabia mke akaanza kuwa Mchoyo ndugu wakija Nyumbani an...
Karibu tuzungumze hapa ndipo kituo chako bora cha maarifa ,karibu useme, niseme, waseme na sisi tunasema 2018. ni sehemu pekee ya kila mmoja kutoa maoni yake na uwelewa wake juu ya kuelimisha jamii. ukiwa unachochote cha kutaka kutushirikisha kupitia jukwaa hili la wana jamii, usisite kututumia baraua pepe kwenda kwa bahatimagweiga467@gmail.com au wasiliana nasi kwa simu namba 0757472165, 0659991953. huduma zetu ni masaa 24