Ripoti mpya za shirika la Afya Duniani (WHO) zinasema kuwa ugonjwa wa shinikizo la damu ndio ugonjwa ambao unaathiri watu wengi zaidi barani Afrika huku ikionesha asilimia zaidi ya 10 ya Waafrika wameshapata na ugonjwa huo. Kwa mujibu ripoti hiyo imeeleza sababu kubwa za kuzidi kuongezeka kwa ugonjwa huo kuwa ni watu kupuuza kufanya mazoezi, kupunguza au kutotumia kabisa matunda angalau matano na mboga kwa siku, matumizi ya tumbaku au sigara na pombe zimetajwa kama njia kuu za kushindwa kupambana na yote yasiyoambukiza ikiwemo Moyo, Kisukari na Kansa. Ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO), imeonesha pia robo ya watu wazima kutoka nusu ya nchi za Afrika zilizofanyiwa utafiti wameathiriwa na sababu tatu za hatari zinazoongeza uwezekano wa kuwa na moja au zaidi ya magonjwa mengine hatarishi wakati wa maisha yao. WHO inaonyesha kuwa wanawake wa Afrika wenye umri wa zaidi ya miaka 45 wako katika hatari zaidi ya kuambukizwa magonjwa haya. Wakati ambapo matumizi ya...
Karibu tuzungumze hapa ndipo kituo chako bora cha maarifa ,karibu useme, niseme, waseme na sisi tunasema 2018. ni sehemu pekee ya kila mmoja kutoa maoni yake na uwelewa wake juu ya kuelimisha jamii. ukiwa unachochote cha kutaka kutushirikisha kupitia jukwaa hili la wana jamii, usisite kututumia baraua pepe kwenda kwa bahatimagweiga467@gmail.com au wasiliana nasi kwa simu namba 0757472165, 0659991953. huduma zetu ni masaa 24