DALILI ZA MTU ANAYETAKA KUKUACHA. . Sio kila mtu ana uwezo wa kukufata au kukupigia simu na kukuambia live kuwa hakutaki, muachane, wengi hawawezi kuwa kauzu hivyo na kuamua kutumia njia zingine ambazo kwa kiasi kikubwa zitakuumiza, kutesa, au kusababisha malalamiko/ugomvi unaoweza mpa sababu ya kuachana na wewe. Zifuatazo ni dalili za mahusiano yanayokaribia kufa. . 1: MABADILIKO YA TABIA: Mara nyingi mtu anapokua amekuchoka huwa anaanza kujenga tabia za ajabu ajabu, ambazo zitakufanya ukose usingizi, ukose raha ya maisha au hata kusababisha mitafaruku ya mara kwa mara. Mfano: Usaliti wa mara kwa mara na muda mwingine ni wa wazi wazi, gubu, kisirani, kukosoa kosoa bila sababu, kuchelewa kurudi, jeuri, dharau*kejeli, kukupiga mara kwa mara. . 2: KUPUNGUZA MAWASILIANO: Hii ndo huwa jambo kubwa hasa kwa wenye mahusiano yaliyo nje ya ndoa na ndani ya ndoa. Mlizoeana kuchat asubuhi mpaka usiku, kupigiana simu mara kwa mara. Lakini ghafla unaona ile kasi inapungua, story, ushauri, vi...
Karibu tuzungumze hapa ndipo kituo chako bora cha maarifa ,karibu useme, niseme, waseme na sisi tunasema 2018. ni sehemu pekee ya kila mmoja kutoa maoni yake na uwelewa wake juu ya kuelimisha jamii. ukiwa unachochote cha kutaka kutushirikisha kupitia jukwaa hili la wana jamii, usisite kututumia baraua pepe kwenda kwa bahatimagweiga467@gmail.com au wasiliana nasi kwa simu namba 0757472165, 0659991953. huduma zetu ni masaa 24