Kuwa na Elimu kubwa haina maana kwamba unafahamu mambo yote katika ulimwengu tunamoishi. Asilimia kubwa ya watu wamepotea kimaisha kutokana na falsafa hasi ya kwamba wapo sahihi muda wote kwa sababu tu ya Kiwango cha Elimu alichopata darasani. Kwa ukweli usiopingika ni kwamba umehitimu Elimu ya darasani ila bado upo wazi au mweupe kabisa kwenye Elimu ya mtaani yani Elimu inayotumika zaidi kwenye maisha. Elimu ya darasani itakusaidia kwa uchache sana kufanikisha mambo yako ila elimu ya mtaani itakuwezesha zaidi kutimiza ndoto zako kimaisha. Kwa mfano kuna watu wamesoma na wana elimu kubwa ila bado Elimu hiyo waliopata darasani inazidi kuwatenga mbali na jamii inayowazunguka kwa kushindwa kuchanganua mambo kwa wakati.
Itikadi hii inatokana na kuaminishawa kwamba sehemu pekee itakayo kusaidia wewe kumaliza matatizo yako ni darasani. Ila ukweli usiopingika ni kwamba darasani pekee hakutoshi kumaliza matatizo yako. Ispokuwa hata njee ya darasani yani hekima binafsi ya kuzaliwa nayo inawezekana.
Uchunguzi umebaini rasimi kwamba kuna badhi ya watu wana uwezo wa Elimu ya kawaida lakini uchanganuzi wao wa mambo ni mkubwa sana kutokana na matumizi ya hekima waliozaliwa nayo.
Wakati mwingine watu hao wamefanya mambo makubwa sana katika ulimwengu wa mafanikio.
Imeandaliwa na bahati magweiga
Simu namba 0757472165
Tigo namba 0659991953
E-mail bahatimagweiga467@gmail.com

Comments
Post a Comment
asante kwa kuichagua tujengane media kuwa sehemu yako ya kujifunza