Kote katika njia zako za maisha utakazopita epuka kumdharau mtu usiye mjua kwa kuwa kuna nguvu furani ambayo mungu ameweka katika kila mmoja wetu. pengine ikawa ndiye mwenye mafanikio yako kwasababu tunasema kwamba mafanikio yako yako mikononi mwa mungu , pengine mungu amemuleta huyo unaye mdharau kuwa sehemu ya kufanikisha mambo yako. pengine mtu huyo ndiye yule ambaye mungu anamtumia kama jaribu kweneye maisha yako na usipolishinda huwezi kufanikiwa hata kidogo.
kuishi na watu vizuri katika jamii kutakufanya upate baraka mbele za mungu na kutimiza makusudi maalum ambayo mungu amaeweka ndani yako ili uyatimize hapa duniani
kuishi na watu vizuri katika jamii kutakufanya upate baraka mbele za mungu na kutimiza makusudi maalum ambayo mungu amaeweka ndani yako ili uyatimize hapa duniani
Comments
Post a Comment
asante kwa kuichagua tujengane media kuwa sehemu yako ya kujifunza