unaporuhusu watu kuwa wamzi wa maisha yako lazima utegemee kuwa kama wao wanavyo waza. yawezekana kabisa ni marafiki zako ndugu zako na hata jamaa zako. hii inamanisha kwamba kwa kila hatua utakayopiga kwenye maisha yako itatokana na mawazo yao au mbinu zao za kimaisha. haijarishi ni hatua chanya au hasi. Madhara makubwa ya kufanyiwa mmzi na watu wengine ni makubwa zaidi ya kile amabacho unadhania................................................................
Karibu tuzungumze hapa ndipo kituo chako bora cha maarifa ,karibu useme, niseme, waseme na sisi tunasema 2018. ni sehemu pekee ya kila mmoja kutoa maoni yake na uwelewa wake juu ya kuelimisha jamii. ukiwa unachochote cha kutaka kutushirikisha kupitia jukwaa hili la wana jamii, usisite kututumia baraua pepe kwenda kwa bahatimagweiga467@gmail.com au wasiliana nasi kwa simu namba 0757472165, 0659991953. huduma zetu ni masaa 24