Katika maisha yako usithubutu kumdharau mtu yeyote kwani kuna nguvu ambayo mungu ameweka ndani yetu ambayo wengi hatuifahamu. Ipo nguvu ya kimafanikio katika mtu huyo ambaye leo unamdharu. Kuna usemi usemao hakuna ajuaye kesho yake. Yawezekana huyo ambaye unamdharu kwa leo ndiye amebeba dhana kubwa ya mafanikio yako. Usijione bora kuliko wengine kutokana na mali ulizonazo au Elimu, cheo nk. Kupanda mulima huwa ni kazi ngumu kidogo lakini kushuka mulima ni rahisi muno. Kwa maana nyingine kushushwa kwa pigo la mwenyezi mungu ni rahisi sana. Usipende kulazimisha
MAGWEIGA POULTRY INVESTMENT(wajasiriamali wa kuku na bidhaa zake) MAMBO YANAYOKWAMISHA WAFUGAJI WENGI. Ufugaji ni rahisi ukitumia faida za mezani na kushuhudia watu wanafanya. Hali hi inaweza ikawa tofauti ukianza wewe mwenyewe kwa vitendo. Ni jambo gumu kiasi chake endapo mfugaji atapuza kanuni bora za Ufugaji. Hapa mfugaji mpya anapaswa kujitathimini na kujipima kama anaweza kutoboa na kufikia matamanio yake kiufugaji. Ufugaji ni kazi ngumu lakni imejawa na mafanikio kabambe na pia ni miongoni mwa furusa ambazo zipo wazi. Ila vigezo na mashariti kuzingatiwa. kinacho kwamisha ufugaji kwa asilimia kubwa ni mambo yafuatayo . Mfugaji asipo yavalia njuga ataishia kwenye msongo wa mawazo na kujipa magonjwa ya moyo. Magweiga poultry investment 1. Magonjwa . Kipengele hiki kimekuwa changamoto kubwa sana kwa sisi wafugaji. Yapo magonjwa changizwa ambayo ni mfugaji mwenyewe anakubaliana na ugonjwa husika kutokea ✔️ Typhoid...
Comments
Post a Comment
asante kwa kuichagua tujengane media kuwa sehemu yako ya kujifunza