MWANAMKE KUKOSA HAMU YA KUFANYA MAPENZI
Tatizo la kukosa hamu ya kufanya mapenzi au kukosa nyege kwa lugha ya mitaani huwatokea zaidi wanawake kuliko wanaume lakini ni wanaume wanaokerwa zaidi na
tatizo hili kuliko wanawake. Wakati ambapo ni asilimia 15 hadi 16 ya wanaume wenye tatizo hili, idadi ya wanawake ni mara mbili ya hii
ya wanaume. Lakini wakati ni asilimia 23 ya wanaume wanaonyesha kuridhika kuishi na
tatizo hili, asilimia 46 ya wanawake wapo radhi kabisa kuendelea kuishi na tatizo hili.
Si lazima kuendelea kuishi na tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa sababu kuna mambo mengi unayoweza kuyafanya ili kuondokana na hili tatizo. Hali ya kupenda kufanya mapenzi au tendo la ndoa kwa mwanamke inabadilikabadilika sana ikipanda na kushuka kulingana na
matukio mbalibali yanayomtokea katika maisha yake.
Baadhi ya matukio yanayoathiri hamu ya mwanamke kufanya
mapenzi ni pamoja na kuanza na kwisha kwa mahusiano ya kimapenzi na mwanamme, kupata ujauzito, na magonjwa. Kama wewe
mwanamke umepatwa na ha hii unaweza kukabiliana nayo kwa kubalisha jinsi unavyoishi, kufanya mambo kadhaa yatakayo badilisha hali hii au kutumia baadhi ya dawa zinazosaidia kuondoa tatizo hili.
SABABU ZA KUKOSA HAMU KUFANYA TENDO LA NDOA
Sababu zinazoweza kupelekea mwanamke
kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa ni
nyingi lakini kwa ujumla karibu zote
tunaweza kuziweka katika makundi
manne:
1. Mahusiano Baina Ya Mwanamke Na Mwanamme; Kwa wanawake walio wengi ukaribu wa kihisia
ndicho kitu cha kwanza katika kujenga mapenzi kati yake na mwanamme. Hivyo, mahusiano mabovu yaweza kuwa ndicho
chanzo cha kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanamke. Mwanamke atakosa
hamu ya kufanya mapenzi endapo
hakutokuwa na mawasiliano baina yake na mumewe, kutakuwa na migogoro kati yake na mumewe isiyokwisha, kutakuwa na ukosefu
wa mawasiliano kuhusu mahitaji yake ya kufanya mapenzi na jinsi ambavyo yeye angependa kufanyiwa kimapenzi na kama
atahisi kuna ukosefu wa uaminifu katika ndoa au mahusiano yao.
2. Matatizo Katika Maisha Yako; Matatizo mbalimbali katika maisha ya mwanamke humsababishia kukosa hamu ya kufanya
mapenzi. Baadhi ya matatizo ambayo huweza kusababisha mwanamke kukosa hamu ya kufanya mapenzi ni pamoja na
magonjwa, mabadiliko katika mwili wake na hata matumizi ya baadhi ya madawa:
- Matatizo Katika Kufanya Tendo La ndoa; Kama mwanamke anapata maumivu wakati
wa kufanya tendo la ndoa au kama
mwanamke anakosa kufika kileleni, hali hii
inaweza kusababisha akakosa kabisa hamu ya kufanya mapenzi. Hii hutokea ikiwa sehemu nyeti inabakia kuwa kavu na mwanaume akimuingilia ikiwa kavu mke hupata maumivu.
- Matatizo ya afya; Magonjwa mengi husababisha mwanamke akose hamu ya kufanya tendo la ndoa. Baadhi ya magonjwa ni maumivu ya viungo vya mifupa
(arthritis), kansa, ugonjwa wa kisukari, high blood pressure, matatizo katika mishipa ya damu ya arteri na matatizo ya akili.
- Matumizi ya madawa; Baadhi ya madawa yakitumiwa, huondoa kabisa hamu ya kufanya mapenzi kwa mwanamke. Mfano wa dawa hizo ni kama madawa za kubadilisha msongo wa mawazo (anxiety & antidepressant drugs), vya kupanga uzazi (contraceptives pills), dawa za pressure,
- Mtindo wa maisha; Matumizi ya pombe, uvutaji wa sigara na madawa ya kulevya huathiri hamu ya kufanya mapenzi.
- Upasuaji; Upasuaji uliofanyika katika maeneo ya maziwa au katika maeneno ya viungo vya uzazi humbadilishia mwanamke mwonekano wake, huathiri ufanyaji kazi wa viungo hivyo na mwisho kuathiri hamu yake ya kufanya mapenzi.
- Uchovu; Uchovu unaotokana na kulea watoto wadogo au vikongwe huweza kuathiri hamu ya mwanamke ya kufanya mapenzi.
3. Mabadiliko Katika Mfumo Wa Homoni; - Kukoma Hedhi; Mabadilko ya viwango vya homoni katika mwili wa mwanamke yanaweza kusababisha kukosa hamu ya kufanya mapenzi kwa mwanamke. Kupungua kwa 'Estrogen' katika mwili wa mwanamke katika kipindi cha kuelekea kukoma hedhi
kunaweza kusababisha ukosefu wa hamu ya kufanya mapenzi. Upungufu wa homoni hiyo
husababisha uyabisi wa viungo vya sehemu nyeti na kusababisha maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa. Mwanamke pia huweza kuwa na upungufu wa homoni ya 'Testosterone', homoni ambayo
husaidia kuongeza hamu ya kufanya mapenzi kwa wanaume na wanawake, hivyo
mwanamke huyo akapungukiwa na hamu ya kufanya mapenzi.
Pamoja na kuwa wanawake wengi huendelea
kupata hamu ya kufanya mapenzi baada ya kukoma hedhi, baadhi kupungukiwa na hamu hiyo baada ya mabadiliko haya ya viwango
vya homoni katika miili yao.
- Ujauzito na kunyonyesha; Mabadiliko katika mfumo wa homoni wakati wa ujauzito, baada ya kujifungua na wakati wa
kunyonyesha huweza kusababisha mwanamke kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa.
4. Matatizo Ya Kisaikolojia; Matatizo ya kisaikolojia yana mchango katika kumfanya
mwanamke akose hamu ya kufanya tendo la ndoa. Baadhi ya mtatatizo hayo ni:
- Wasiwasi na kuwa na msongo wa mawazo
- Kuwa na mawazo mengi kuhusu matatizo ya kifedha au kikazi
- Kuhisi kutothaminiwa katika jamii
- Kuwa na historia ya kunyanyaswa kimwili au kijinsia kama kupigwa au kubakwa
- Kuwa na historia mbaya ya kimapenzi
NJIA ZA KUONDOA TATIZO
Hakuna dawa ya moja kwa moja toka hospitalini kwa sasa hivi kwa ajili ya kuondoa tatizo hili, hata hivyo wanawake wengi wanaweza kurudi kwenye hali zao za kawaida kwa kushirikiana na waume zao
waelewa. Jaribu kufanya tendo la ndoa ukisaidiana na mumeo. Unahitaji kuchunguza taratibu na kwa kina chanzo cha tatizo lako, na taratibu lifanyie kazi kwa msaada wa mume wako. Ni muhimu sana muathirika kutafuta mawazo ya daktari ili kuweza kupata njia
bora ya usaidizi. Daktari ataweza kumuhoji muathirika na kubaini katika sababu hizi zilizotajwa gani inasababisha hali hii kutokea. Pia anaweza kutoa nasaha au sex
therapy. Katika nchi zilizoendelea, kila siku wamekuwa wakija na dawa na vifaa vipya vya kuondoa tatizo hili na vingi bado ni vya bei kubwa na/au vinapatikana kwa shida.
Vipo ambavyo vimeonyesha mafanikio makubwa, mifano ya vitu hivyo ni 'Suction Vibrators' 'Desire Creams ili kutoa ukavu' na
'Erection Drugs' ili kumpandisha mwanamke hisia.
Unaweza kupata mafanikio makubwa kwa kutumia chakula kinachosaidia kuongeza
hamu. Kama hivi bado havijakusaidia, nashauri utumie virutubisho vya mwili ambavyo husamabazwa na makampuni
mbalimbali. Vipo vinavyofanya kazi kwa haraka na kutibu kabisa tatizo hili. Endapo umepata tatizo kutambua virutubisho vizuri vya kutumia, wasiliana nasi kwa kutumia njia yo yote iliyo rahisi kwako kati ya hizi nilizoziorodhesha chini ya ukurasa huu.
CHAKULA CHA KUONGEZA HAMU YA MAPENZI
Utafiti umeonyesha pasina shaka kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya chakula tunachokula na afya ya viungo vya uzazi. Baadhi ya chakula na virutubisho vimehusishwa na hamu ya kufanya mapenz (nyege). Vitubisho ndani ya chakula ambavyo vinasaidia hali hiyo ni antioxidants, vitamin C, vitamin E, potassium
na zinc. Kirutubisho cha zinc kinaongeza mbegu kwa mwanamme (sperm count) hivyo humsaidia kuongeza hamu ya kufanya tendo
la ndoa. Chakula chochote chenye
virutubisho hivi vikiliwa humfanya mlaji asikie hamu ya kufanya mapenzi au kwa maneno ya mtaani, chakula hiki kinasaidia
kuongeza nyege. Baadhi ya chakula cha kuongeza nyege ni:
TIKITI MAJI - Hili linachukuliwa kuwa ndilo
tunda bora katika kuboresha afya ya mapenzi. Tunda hili lina asilimia 92 ya maji na asilimia 8 zinazobakia zina 'phytonutrient citrulline' ambayo hugeuzwa
kuwa 'arginine'. 'Arginine' ni 'amino acid' ambayo hufanya mishipa ya damu kuwa kwenye hali ya ubora wake na kusadia damu
kupita vizuri zaidi. Tikitimaji kwa hiyo husaidia damu ifike kwa kiwango kizuri zaidi kwenye sehemu ambazo hutakiwa kutanuka wakati mtu akipata hisia za kufanya tendo la ndoa ambazo ni viungo vya ndani ya kisimi cha mwanamke na ndani ya uume wamwanamme.
STRAWBERRIES – Matunda haya yana 'antioxidants' kwa kusaidia afya ya moyo na mishipa ya damu (arteri) na vitamin C ambayo huongeza kiwango cha mbegu kwa
mwanamme.
AVOCADO - Tunda hili lina vitamini E ambayo ni 'antioxidant'. Ndani ya tunda hili kuna 'potassium' na 'Vitamini B6' ambavyo huboresha afya ya moyo na kusaidia mzunguko wa damu.
VIAZI VITAMU - Hivi vina 'potassium' ambayo husaidia kuondoa tatizo la high- blood pressure. Chakula kingine katika kundi hili ni aina ya BROCOLLI (utaipata sokoni na hutumika sana
na wahindi), KARAFUU, MAYAI, TENDE, NJUGU, UWATU, ASALI, SUPU YA SAMAKI, CHOCOLATE na TANGAWIZI. Kuna mchanganyiko wa matunda ukisagwa pamoja na kunywewa umeonyesha kuongeza
hamu ya kufanya mapenzi au kuongeza nyege.
Pia kuna aina za sabuni au manukatu ukiyanusa hupandisha mwanamke hisia ya kufanya tendo la ndoa. Ni muhimu sana wanandoa kuyazungumza haya ili mke
amueleze aina ya manukatu anazozipenda na zile vitu mume hufanya vinavyomuudhi nakufikia yeye mke kupoteza hamu. Wanaume wengi huwa wachafu, hawatii manukatu na hata midomo huwa inatoa harufu ya kumuudhi mke. Pia wengine hawajui romance na huwapandia wake zao kama wanyama bila kufanya utangulizi.

Comments
Post a Comment
asante kwa kuichagua tujengane media kuwa sehemu yako ya kujifunza