|
|
| Tangaza nasi kupitia blog yako ya tujengane media muda wowote bila vikwazo. Tutafikisha matangazo yako zaidi ya nchi 108 Duniani kote. Kuwa wa kwanza kujulikana kibiashara na kutangaza kipaji chako iwe mziki , mpira, riadha nk. Utatangazwa kwa mwezi mzima kupitia blog hii kwa garama nafuu kabisa. Ili kutufikishia matangazo yako wasiliana nasi kupitia E-mail bahatimagweiga467@gmail.com au simu namba +255 786 9555 89. Kumbuka Huduma zetu ni ndani ya masaa 24 hakuna ukomo wa matangazo. Share na marafiki zako hasa wenye nia ya kufanikiwa kimaisha pia na wale amabao wamekwisha kujikatia tamaa hapa ndio sehemu yao sahihi. |
MAGWEIGA POULTRY INVESTMENT(wajasiriamali wa kuku na bidhaa zake) MAMBO YANAYOKWAMISHA WAFUGAJI WENGI. Ufugaji ni rahisi ukitumia faida za mezani na kushuhudia watu wanafanya. Hali hi inaweza ikawa tofauti ukianza wewe mwenyewe kwa vitendo. Ni jambo gumu kiasi chake endapo mfugaji atapuza kanuni bora za Ufugaji. Hapa mfugaji mpya anapaswa kujitathimini na kujipima kama anaweza kutoboa na kufikia matamanio yake kiufugaji. Ufugaji ni kazi ngumu lakni imejawa na mafanikio kabambe na pia ni miongoni mwa furusa ambazo zipo wazi. Ila vigezo na mashariti kuzingatiwa. kinacho kwamisha ufugaji kwa asilimia kubwa ni mambo yafuatayo . Mfugaji asipo yavalia njuga ataishia kwenye msongo wa mawazo na kujipa magonjwa ya moyo. Magweiga poultry investment 1. Magonjwa . Kipengele hiki kimekuwa changamoto kubwa sana kwa sisi wafugaji. Yapo magonjwa changizwa ambayo ni mfugaji mwenyewe anakubaliana na ugonjwa husika kutokea ✔️ Typhoid...

Comments
Post a Comment
asante kwa kuichagua tujengane media kuwa sehemu yako ya kujifunza