Katika maisha yako usikubali kufumbia macho mambo madogo madogo ukiamini kwamba yanaweza kupata ufumbuzi siku yoyote. Hasa unapokuwa kwenye mahusiano kati yako na mwenzi wako. Ikumbukwe kwamba jinsi unavyozidi kufuga hali hiyo ndivyo unajiweka kwenye nafasi kubwa ya kushindwa huko mbeleni. Penda kuwa mtu wa kumaliza vitu muda huohuo ili kuipa nafasi akili yako na nafsi yako kuhifadhi mambo mapya na makubwa kwenye Safari ya kuelekea kwenye kutimiza ndoto zako.
Ukiwa mtu wa kulimbikiza mambo siku zote lazima utavuruga hasa unapofikia wakati wa mamzi. Epuka sana kumuweka mwenzi wako kwenye mabano huku ukimtegea arudie kosa ili uyaunganishe na kuyafanyia kazi kwa pamoja.
Hata hivyo asilimia kubwa ya watu huchukua matatizo hayo kuwa sehemu ya maisha yao kwa sababu ya kutoelewa hilo. Tumia muda wako vizuri na uwekeze kwenye kujielimisha zaidi juu ya hayo.
Pia unapo fanya hivyo kwa upande mwingine unakuwa unatoa nafasi kubwa kwa shetani kujipenyeza na kukupa nguvu ya ziada kuyatolea mamzi mabovu yale uliohifadhi kwa ajili ya mwenzio ( mabaya)

Comments
Post a Comment
asante kwa kuichagua tujengane media kuwa sehemu yako ya kujifunza