Mahitaji Muhimu kwa vifaranga 100 ndani ya wiki 3 mpaka 4. www.tujenganemedia. blogspot. Com
✔️ chakula 50kg statar. Huweza kutumika kwa wiki 3 kisha ukaongeza kiroba kingine
✔️ chungu joto 1 au bulb joto kwajili ya vifaranga 1
✔️ vyombo vya maji 3
✔️vyombo vya kulishia vifaranga 3 mpaka 4 . Hi unaweza kutumia mifuniko yenye muundo wa masinia. Dukani ipo.
✔️ Dawa ya kuanzishia ( NEOXCHICK FORMULA )
✔️ glucolin kwajili ya kuwapa kwa masaa matatu ya mwanzo.
✔️ Maranda ya mpunga au matandazo kwajili ya kufyonza vinyessi vyao.
✔️Trimizine : hi tunachanganya kwenye neochick ili kusaidia vifaranga wasipate magonjwa ya kuhara kama vile typhoid ndani ya siku 7 mapaka 14
Hayo ni acheche katika mengi ambayo mfugaji unapaswa kufanya katika muradi wako.
By Bahati MagweIgarashi
0757472165
0786155188
Vifaranga wa siku 1 ni 1500/=
Vifaranga wa mwezi 5000/=
Karibu Sana
Comments
Post a Comment
asante kwa kuichagua tujengane media kuwa sehemu yako ya kujifunza