MAISHA
Maisha ya mwanadamu yananyakati mbalimbali ambazo lazima azipitie , hivyo uvumilivu ni jambo muhimu sana hususani katika maswala ya kujipanga kimaisha. haina maana kwamba ukishindwa eneo moja ndio umeshindwa maeneo yote katika maisha. kila changamoto unazopitia zinafunzo kubwa katika safari ya kuyafikia malengo yako. usikubali kusalenda juu ya harakati za maisha.
Nirahisi sana kukata tamaa hasa ukiwa mtu wa kufuatilia mambo ambayo hayana faida katika ubadaye wa maisha yako. kwa mfano swala la kuchezea muda kwa kujidanganya kwamba ipo siko utatekeleza pale umuri utakapokuwa umefika .
endelea kufuatilia makala zangu katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii ili tuweze kwenda sambamba katika kuyafikia malengo yetu na kutimiza ndoto zetu
Pia usisite kujifunza pamoja na wenzio kupitia blog hii ambayo ni huru kwa vijana na kila mtu ambaye anafikira za kufanikiwa.
Comments
Post a Comment
asante kwa kuichagua tujengane media kuwa sehemu yako ya kujifunza