Skip to main content
🏆🎓❤👠👇💚🖊
Uzuri wa sura pekee haukufanyi kupata tiketi ya kuimiliki ndoa kwa asilimia 100 %
Bora uwe mrembo wa akili, Maarifa, unyenyekevu, Hekima, ukarimu, upendo maana hivyo vitakupa uhakika wa kuifikisha ndoa yako salama katika safari ya maisha ya ndoa mulioanza.
🍇👇🎓👫🏆
Inaleta picha gani kujiita mrembo huku unaambatana na mumeo kwenda kwenye baraza la wazee kudai ushauri wa Talaka? ?? Kisa umepata wa pembeni anaye kupenda?
Uremho wako utakuwa useless kwa mume wako endapo Uremho huo utakuwa hauna ushirikiano na tabia binafsi.
© *Bahati Magweiga*
Mshauri elekezi wa vijana na mahusiano 💚🏆🍇
Unakutana na mabinti wazuri kweli ambao wakipita sehemu wanaume wote wanaacha kazi zao na kuanza kuulizana maswali. Wengine mpaka wanawapigia makofi kwa uzuri wao  lkn hata ukiwauliza hao wanaume kwa nn wasiowe hao mabinti????
..........................................................................................
  ✔Kila mwanaume anapiga chenga na kusema hawezi kelele za kila siku.
✔ wengine wanasema hawawezi kuishi na binti wa jumuiya kwani wa hivyo huwa wanakuwaga na kiburi sana ndani kwa sababu huamini kwamba mtaani wana garama.
........... Nk.  Mambo mengitu utasikia kwa waowaji.

Kwa kiasi furani inauma sana kumkuta binti ambaye ulikuwa unamtukana sura mbovu,  mchafu ananuka nk  yeye ameolewa na kigogo alafu wewe na uremho wako unaishia kwenye mawindo na huduma zisizo rasimi kwa jamii.
Nasikiaga mtaani wanasema kwamba mungu hawezi kukupa vyote . Akikupa uremho hapo kichwani jua nikashatu hakuna kitu.  Akikupa sura ya kawaida jua hapo kichwani ni nondo tupu akili za kutosha, maarifa kibao nk

Comments

Popular posts from this blog

MAMBO YANAYO KWAMISHA UFUGAJI

MAGWEIGA POULTRY INVESTMENT(wajasiriamali wa kuku na bidhaa zake) MAMBO YANAYOKWAMISHA WAFUGAJI WENGI.  Ufugaji ni rahisi ukitumia faida za mezani na kushuhudia watu wanafanya.  Hali hi inaweza ikawa tofauti ukianza wewe mwenyewe kwa vitendo.  Ni jambo gumu kiasi chake endapo mfugaji atapuza kanuni bora za Ufugaji.  Hapa mfugaji mpya anapaswa kujitathimini na kujipima kama anaweza kutoboa na kufikia matamanio yake kiufugaji.     Ufugaji ni kazi ngumu lakni imejawa na mafanikio kabambe na pia ni miongoni mwa furusa ambazo zipo wazi.  Ila vigezo na mashariti kuzingatiwa. kinacho kwamisha ufugaji kwa asilimia kubwa ni mambo yafuatayo . Mfugaji asipo yavalia njuga ataishia kwenye msongo wa mawazo na kujipa magonjwa ya moyo. Magweiga poultry investment 1. Magonjwa . Kipengele hiki kimekuwa changamoto kubwa sana kwa sisi wafugaji.  Yapo magonjwa changizwa  ambayo ni mfugaji mwenyewe anakubaliana na ugonjwa husika kutokea  ✔️ Typhoid...

KUWA NA MSIMAMO KWENYE MAISHA YAKO

Ulishawahi kujiuliza ni  kwanini watu wachache wanafanikiwa katika maisha huku wengi wakibakia masikini?  Ukweli ni kwamba sio kuwa wao wanasiri nyingi za kufanikiwa kuliko wewe bali ni misimamo thabiti waliojiwekea ili kuendana na ukuaji wa changamoto za maisha. Ni watu ambao wanafikiria vitu na mambo makubwa na kufanya vitu hivyo kwa msimamo bila kukubali kushindwa.  James William  (Harvard University ) aliwahi kusema kwamba " A human being can alter their lives by altering their attitude of mind" akiwa anamanisha kwamba binadamu yeyote anaweza kupunguza maisha yake kwa kupunguza musimamo wa fikira zake. Duniani kote utafiti unaonyesha kwamba rasirimali watu ndio nyenzo muhimu sana katika biashara yoyote yenye mulengo wa mafanikio.  Ila rasilimali hiyo ndio imekuwa ikipotea kila siku kutokana na watu kukoswa msimamo  (atttitude) Watu wanaweza kuwa asset kubwa sana katika maisha yako. Mafanikio yoyote hayapimwi kwa kipato ulichonacho bali pia ...

USIWE NA TAMAA KATIKA UFUGAJI.

  MADHARA YA TAMAA KATIKA UFUGAJI  Mfugaji yoyote ili aweze kuona faida ya ufugaji wake lazima aweke Tamaa pembeni.  Kuna utofauti kati ya Mfugaji mwenye Malengo na Mfugaji mwenye Tamaa.  Mfugaji mwenye Malengo hufanya muradi wake kwa uchache na kwa ufanisi, pia huweka ukomo wa kumiliki kuku kwa kiwango ambacho huweza kuwamudu na kumletea faida  Mfugaji mwenye Tamaa yeye kwake ukienda utakuta ana kuku 500 wa rika tofauti tofauti ambao hata kuwalisha ni mtihani kwake ila shida yake aonekane anamiliki kuku wengi japo faida yake ni 0%% Mfano : umeweka kuku 100 kroila  na umewakuza kwa shida hadi kufikia kutaga . Wanapoanza kutaga ni muda wa kuvuna mayai ili kurudisha garama zako.  Cha ajabu hapa utakuta Mfugaji anakurupuka kuingiza vifaranga wapya 200 kwa kutegemea hawa kuku 100 wahudumie vifaranga 200  hadi kufikia kutaga.   Pia hao kuku 100 wajiendeshe wao wenyewe kupitia mayai.  pia kuku 100 wahudumie familia. Ukweli ni kwamba itafi...