Ikiwa jamii inayokuzunguka itajinua na kukuongelea wewe katika maeneo tofauti na mienendo tofauti , ni lazima uchukue nafasi ya kujitathimini upya na kufanya toba za kila wakati juu ya hayo. wanadamu wakati mwingine huwa na taarifa za ishara ya kuharibikiwa kwako pia mungu huwatumia wao kukufikishia ujumbe juu ya kukutaka ubadilike na uendane na kile ambacho yeye alikusudia ufanye hapa duniani. sio kwamba kila mwanadamu nayekwandama kutokna na mienendo yako anakutakia mabaya bali wengine huwa na nia njema. hupaswi kuchukia badala yake unapaswa kujielimisha juu ya hayo na kuwatumia kama wajuzaji wako.
...................................
...................................
Comments
Post a Comment
asante kwa kuichagua tujengane media kuwa sehemu yako ya kujifunza