asilimia kubwa yatu tupenda kujiwekea uhakika wa kile ambacho wanakitarajia kutoka kwa watu wengine lakini kila siku nimekuwa nikisema jambo hili kwenye makala zangu za kila siku kuwa jambo hilo limewatesa wengi sana hasa pale wanapokuwa wameshindwa kupata msaada juu ya kile ambacho walitarajia. kwa mfano kuna watu wanatumia pesa vibaya kwa sababu tu kuna sehemu wameahidiwa kuwa watapata kiwango chochote cha fedha kitakachowasaidia kutimiza yale ambayo wangependa yatimie katika mipango yao. hatima ya kujiaminisha siku zote ni fedheha kwni mambo yanabadilika na maisha ya watu yanabadilika pia. kwa hiyo unashauriwa kuwa na uhakika na kile ambacho unacho mkononi kwako na siyo kilichopo kwa mtu mwingine. haijarishi ni ndugu yako , jamaa yako, rafiki nk . epuka sana kuamini kauli zao juun ya upande wa fedha ama mambo ambayo unaona kabisa wamba kutimia kwako ni vigum .
MAGWEIGA POULTRY INVESTMENT(wajasiriamali wa kuku na bidhaa zake) MAMBO YANAYOKWAMISHA WAFUGAJI WENGI. Ufugaji ni rahisi ukitumia faida za mezani na kushuhudia watu wanafanya. Hali hi inaweza ikawa tofauti ukianza wewe mwenyewe kwa vitendo. Ni jambo gumu kiasi chake endapo mfugaji atapuza kanuni bora za Ufugaji. Hapa mfugaji mpya anapaswa kujitathimini na kujipima kama anaweza kutoboa na kufikia matamanio yake kiufugaji. Ufugaji ni kazi ngumu lakni imejawa na mafanikio kabambe na pia ni miongoni mwa furusa ambazo zipo wazi. Ila vigezo na mashariti kuzingatiwa. kinacho kwamisha ufugaji kwa asilimia kubwa ni mambo yafuatayo . Mfugaji asipo yavalia njuga ataishia kwenye msongo wa mawazo na kujipa magonjwa ya moyo. Magweiga poultry investment 1. Magonjwa . Kipengele hiki kimekuwa changamoto kubwa sana kwa sisi wafugaji. Yapo magonjwa changizwa ambayo ni mfugaji mwenyewe anakubaliana na ugonjwa husika kutokea ✔️ Typhoid...
Comments
Post a Comment
asante kwa kuichagua tujengane media kuwa sehemu yako ya kujifunza